Super Co-Q10 Capsule
Viungo:
Coenzyme Q10, L-Carnitine Hemifumarate, Radices Salviae Miltiorrhizae Extract, Astragalus Hoangtchy Extract
Kazi Na Faida Zake
- Kuboresha shughuli za seli za kujenga na kuvunjavunja kemikali katika mwili, hasa seli za misuli ya moyo na seli za neva
- Kuboresha kinga za mwili
- Ni antioxidants ambazo huzuia magonjwa yanayodhoofisha misuli ya moyo na ubongo
- Kuongeza stamina na ustawi wa mwili.
Yafaa Kwa:
- Watu wenye magonjwa ya mishipa ya moyo kama: myocardial infarction, congestive heart failure, hypertension, cholesterol kuwa nyingi mwilini, angina pectoris n.k.
- Watu wenye uharibifu vya viungo muhimu kutokana na chemotherapy au radiotherapy
- Watu wenye kisukari, magonjwa ya mapafu, magonjwa ya fizi na sehemu za kuzunguka meno (periodontal disease)
- Watu wenye uchovu sugu
- Matumizi kabla ya upasuaji
Maelezo Muhimu:
Coenzyme Q10:
Kiungo kikubwa cha mitochondria katika seli ni Coenzyme Q10, kitu kinachosaidia kutoa nguvu. CoQ10 ni antioxidant ambayo ni muhimu katika ufanyaji kazi wa seli. Hupatikana katika mimea, bakteria,wanyama na binadamu. Seli huhitaji CoQ10 ili kutengeneza nguvu inayohitajika katika kukua na kuwa na afya. CoQ10 hupatikana kwa wingi kwenye moyo, maini, figo na kongosho. Viwango vya CoQ10 katika mwili vimeonekana kupungua kutokana na umri, na kuonekana kuwa chini kwa wagonjwa wenye magonjwa sugu kama matatizo ya moyo, matatizo ya misuli (muscular dystrophies), magonjwa ya Parkinson's, kansa, kisukari, na UKIMWI. Samaki, nyama na nafaka nzima zina viwango vidogo cya CoQ10, lakini havitoshelezi kufikia kiwango kinachotakiwa katika mwili.
Kutibu Magonjwa Ya Moyo:
Tafiti za hivi karibuni zimeonyesha kuwa CoQ10 inaweza kuzuia kutokea kwa uvimbe. Imeonyesha kuwa na nmafanikio sana hasa katka kutibu magonjwa ya mishipa ya moyo,
kuondoa maumivu ya moyo yanayotokana na upungufu wa oksijeni (Angina), na kuongeza kinga za mwili. Kwa misingi hiyo, CoQ10 inachukuliwa kuwa ni bidhaa bora kuliko nyingine ye yote katika kundi la vyakula.
Ubora katika utendaji kazi wa CoQ10 katiak kutibu magonjwa ya mishipa ya moyo umedhirika kwenye utafiti wa hivi karibuni uliofanywa katika nchi za Japan, Urusi, baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani.
Wagonjwa waliougua angina pectoris, myocardial infarction (kufa kwa seli za misuli ya kati ya kuta za moyo kutokana na kukosa mzunguko wa damu), au moyo kushindwa kufanya kazi (congestive heart failure) na kupewa CoQ10 pamoja na dawa nyingine za hospitali huko Japan, Brazil na Ubelgiji, walionyesha mafanikio makubwa.
Kutibu High Blood Pressure:
Kuna ushahidi wa kutosha wa kupitisha matumizi ya CoQ10 katika kutibu tatizo la kuwa na msukumo mkubwa wa damu (high blood pressure).
Maeneo ambayo CoQ10 inaonyesha matumaini makubwa ya kutumiwa ni katika tiba za macho, maumivu ya kifua baada ya mazoezi, pumu, uchovu sugu, kuwa na cholesterol kwa wingi, na tiba ya madhara ya chemotherapy kwa watoto.
<<<<< MWANZO